Posts

Showing posts from August, 2020

💡💡KWANINI HAWAFANIKIWI WAKIWA VIJANA 🤔🤔

 🔮🔮🔮 💡💡💡 Hili limekua swali langu, ambalo nimekua nikijiuliza mara nyingi saana na sikuwa napata majibu. Lakini nilipo endelea kujitathimini mwenyewe, kuna mambo ambayo nimeanza kujifunza.  Nadhani hata wewe utakua shahidi ya kwamba asilimia kubwa ya sisi vijana, watanzania, ni vigumu saana kumkuta kijana wa miaka 20 - 30 anamiliki mali za kutosha kiasi kwamba tumuite tajiri. Japo kwa sasa kumeanza kutokea mapinduzi, hatimae vijana wamekua na nafasi kubwa na kuwa katika orodha ya matajiri wanao chipukia. Lakini leo natamani nikushirikishe mambo ambayo yanawarudisha nyuma vijana wengi na kufanya wakachelewa kuyafikia mafanikio yao. 📅📝 💡💡 1. Vijana wanataka maendeleo yalio tayari. Ni wazi kwamba vijana tunapenda saana maendeleo, lakini tumeshindwa kua chachu ya maendeleo yenyewe. 💡 Huwezi fikia uchumi mkubwa kama utategemea mtu frani afanye jambo harafu wewe uende kufanya akiwa tayari amelifikisha mahar frani. Point yangu ni hii. Kijana kua mbunifu, na tafuta namna ya kuitatua

UNAWEZA KUFANYA MAKUBWA

 You're the best. Kuna watu wana tabia ya kujidharauu saana, wanajiona wanyonge mno na kujidharau kua hawawezi. Lakini nikwambie tuu  neno moja kwamba. Yule mtu ambae unamuona anafanya mambo makubwa leoo, sio kua alizaliwa anajua kila kitu, lakini alianza kwa kujiamin kua anaweza kufanya lolote, na akaanza kuifundisha akili yake iamini kua anaweza Nawewe pia unaweza anzia hapo ulipoo, unaweza kua namna yoyote ile unayo taka kua, jambo la msingi ni kujiamini tuu na kuamini kua wewe unaweza. Mambo yoote unayo yaona yanatokea duniani huanzia kwenye ufahamu na kisha huenda kwenye uhLisia kwa njia ya vitendoo. Hivyo hata wewe kama una wazo lolote ambalo unataka kulifanya, anzia hapo hapo na kidogo kidogo. Kumbuka ukitaka kwenda juu, lazima uanzie chini kwanza, hivyo usiogope kuanza mdogo mdogo. Unaweza kufanya mambo makubwa saana, wewe amini tuuu. By yusuph kapusi