UNAWEZA KUFANYA MAKUBWA

 You're the best.

Kuna watu wana tabia ya kujidharauu saana, wanajiona wanyonge mno na kujidharau kua hawawezi.

Lakini nikwambie tuu  neno moja kwamba. Yule mtu ambae unamuona anafanya mambo makubwa leoo, sio kua alizaliwa anajua kila kitu, lakini alianza kwa kujiamin kua anaweza kufanya lolote, na akaanza kuifundisha akili yake iamini kua anaweza

Nawewe pia unaweza anzia hapo ulipoo, unaweza kua namna yoyote ile unayo taka kua, jambo la msingi ni kujiamini tuu na kuamini kua wewe unaweza.

Mambo yoote unayo yaona yanatokea duniani huanzia kwenye ufahamu na kisha huenda kwenye uhLisia kwa njia ya vitendoo.

Hivyo hata wewe kama una wazo lolote ambalo unataka kulifanya, anzia hapo hapo na kidogo kidogo.

Kumbuka ukitaka kwenda juu, lazima uanzie chini kwanza, hivyo usiogope kuanza mdogo mdogo.

Unaweza kufanya mambo makubwa saana, wewe amini tuuu.


By yusuph kapusi

Comments

  1. Kila mtu anapenda kuwekeza lakini changamoto ya vijana wengi hatuna mitaji ya kuanzia biashara na Kuna wakat unataka kukopa seheme flani inaweza kua company au taasisi binafs changamoto inakuja tena unataka kuchukua mkopo huo ili uwekeze kwny biashara hiyo uloifikilia unakua na waswas wa kukopa Hera hzo kwa kuamin kwamb unaweza kukopa na ukashindw kulipa deni la watu na hatimaye unafungwa ko wengi tunaogopa hapo sio kwmb hatuna ndoto za kufanikiwa kimaisha

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

💡💡KWANINI HAWAFANIKIWI WAKIWA VIJANA 🤔🤔