💡💡KWANINI HAWAFANIKIWI WAKIWA VIJANA 🤔🤔
🔮🔮🔮 💡💡💡 Hili limekua swali langu, ambalo nimekua nikijiuliza mara nyingi saana na sikuwa napata majibu. Lakini nilipo endelea kujitathimini mwenyewe, kuna mambo ambayo nimeanza kujifunza. Nadhani hata wewe utakua shahidi ya kwamba asilimia kubwa ya sisi vijana, watanzania, ni vigumu saana kumkuta kijana wa miaka 20 - 30 anamiliki mali za kutosha kiasi kwamba tumuite tajiri. Japo kwa sasa kumeanza kutokea mapinduzi, hatimae vijana wamekua na nafasi kubwa na kuwa katika orodha ya matajiri wanao chipukia. Lakini leo natamani nikushirikishe mambo ambayo yanawarudisha nyuma vijana wengi na kufanya wakachelewa kuyafikia mafanikio yao. 📅📝 💡💡 1. Vijana wanataka maendeleo yalio tayari. Ni wazi kwamba vijana tunapenda saana maendeleo, lakini tumeshindwa kua chachu ya maendeleo yenyewe. 💡 Huwezi fikia uchumi mkubwa kama utategemea mtu frani afanye jambo harafu wewe uende kufanya akiwa tayari amelifikisha mahar frani. Point yangu ni hii. Kijana kua mbunifu, na tafuta namna ya...